Header AD

MSIMU WA 13 WA MBIO ZA KIMATAIFA ZA KILIMANJARO MARATHONI WAZINDULIWA MJINI MOSHI

Katibu tawala wa mkoa wa Kilimanjaro Seveline Kahitwa akiwa ameshika bendera kuashiria uzinduzi wa msimu wa 13 wa mbio za kimataifa za Kilimanjaro Marathoni,Uzinduzi uliofanyika Hotel ya Kibo Homes,Wengine ni Viongozi katika kampuni ambazo zimejitokeza kudhamini mbio hizo
Katibu tawala wa mkoa wa Kilimanjaro Seveline Kahitwa akizungumza wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa msimu wa 13 wa mbio za kimataifa za Kilimanjaro Marathoni,Uzinduzi uliofanyika Hotel ya Kibo Homes,
Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager Pamela Kikuli ambao ndio wadhamini wakuu wa Mbio za Kilimanjaro Marathoni 2015 ,akizungumza wakati wa uzinduzi wa msimu wa 13 wa mbio hizo uliofanyika Hotel ya Kibo Homes mjini Moshi.
Baadhi ya wageni walikwa katika uzinduzi wa msimu wa 13 wa Mbio za Kilimanjaro Marathoni uliofanyika mjini Moshi.
MSIMU WA 13 WA MBIO ZA KIMATAIFA ZA KILIMANJARO MARATHONI WAZINDULIWA MJINI MOSHI MSIMU WA 13 WA MBIO ZA KIMATAIFA ZA KILIMANJARO MARATHONI WAZINDULIWA MJINI MOSHI Reviewed by crispaseve on 21:14 Rating: 5

No comments

Post AD