Peter na Paul Okoye wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa marehemu baba yao
chifu Moses Okoye, baba mzazi wa Peter na Paul Okoye wa kundi
la P-square, amezikwa katika mji aliozaliwa wa Ifitedunu uliopo katika
jimbo la Anambara.
Safari yake ya mwisho ilianzia nyumbani siku ya Alhamisi
ikisindikizwa na huduma ya nyimbo. Baada ya tukio hilo, P-Square
walifanya ziara ya heshima kwa watawala wa kijiji
Marehemu Mzee Okoye mbaye alifariki Dunia Novemba 25 mwaka
jana, amepumzishwa katika makazi yake ya milele leo Ijumaa(Jan30),
baada ya kufanyiwa misa maalum katika kanisa la katoliki la mtakatifu
Gabriel lililopo Ifitedunu.
Tazama picha za mazishi hapo chini
P-Square na wake zao wakisikiliza kwa makini busara za mzee wa kaya
Kikosi cha matarumbeta kikisindikiza msafara wa mazishi kuelekea kanisani kwa misa maalum kwa ajili ya marehemu
Peter na Paul Okoye wakiwa katika nyuso za huzuni
Peter na Paul Okoye wakiwa katika nyuso za huzuni
P-Square na wake zao wakiwa katika hali ya majonzi
Paul Okoye na mke wake Anitha wakifarijiana
Watoto wa Marehemu na wake zao wakiwa katika nyuso za majonzi
Gari lililobeba mwili wa marehemu likielekea kanisani
Kikosi kazi cha Tarumbeta kikitumbuiza huku mwili wa marehemu ukiingizwa kanisani kwa mbwembwe
Mchungaji wa kanisa katoliki la Mtakatifu Gabriel akitoa neno
Ulinzi wa uhakika ulikuwepo kanisani na nyumbani katika kuhakikisha usalama wa wafiwa
Watuwakiwakanisakwaajili ya misamaalum ya kumuombeamarehem
Watuwakiwakanisakwaajili ya misamaalum ya kumuombeamarehemu
Mke wa Peter Okoye, Lola akisalimiana na wakwe zake msibani
Wajukukuu na watoto wa marehemu wakipata ukodaki – Huyu wa kati lazima atakuwa mtu mzima ovyo
Waombolezaji wakiwa wametupia tshirt maalum za kuomboleza
Mr & Mrs Paul Okoye wakipata ukodaki baada ya mazishi
Wa kwanza kulia ni Paul Okoye, Peter, Ukwa na kaka yao Jude
Paul na mke wake wakiwa msibani
Paul Okoye akimwaga minaira katika msiba wa baba yake
Post a Comment