PICHA NA TAARIFA RASMI KUTOKA IKULU:RAIS JAKAYA KIKWETE AHAMASISHA MCHANGO WA DOLA BILIONI 7.5 KWA AJILI YA CHANJO YA WATOTO NCHI MASIKINI DUNIANI
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akibadilishana mawazo na Mwenyekiti Mwenza wa
Bill & Melinda Gates Foundation, Bw. Bill Gates wakati wa chakula
cha mchana cha mazungumzo na kuhusu kuchangisha fedha katika mkutano
wa kimataifa wa kujadili na kuchangia upya juhudi zakimataifa za
taasisi ya Global Alliance for Vaccines and Immunisation (GAVI) ambayo
imefanya kazi kubwa ya kusambaza chanjo duniani ambapo mpaka sasa watoto
milioni 500 wamepata chanjo za kuzuia magonjwa mbali mbali na wengine
milioni saba wameokolewa katika hatari ya kupoteza maisha.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Kansela Angela Merkel wa Ujerumani, baada ya kumalizika kwa mkubwa wa kuchangisha fedha katika mkutano wa kimataifa wa kujadili na kuchangia upya juhudi za kimataifa za taasisi ya Global Alliance for Vaccines and Immunisation (GAVI) ambayo imefanya kazi kubwa ya kusambaza chanjo duniani ambapo mpaka sasa watoto milioni 500 wamepata chanjo za kuzuia magonjwa mbali mbali na wengine milioni saba wameokolewa katika hatari ya kupoteza maisha.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea tuzo ya GAVI toka kwa mwenyekiti wa Bodi wa taasisi hiyo Bw. Dagfinn Høybråten kutokana na mchango wakd mkubwa katika kuundwa na hatimaye kusimia utekelezaji wa mipango ya GAVI hata kufanikisha upya juhudi za kimataifa za taasisi ya Global Alliance for Vaccines and Immunisation (GAVI) ambayo imefanya kazi kubwa ya kusambaza chanjo duniani ambapo mpaka sasa watoto milioni 500 wamepata chanjo za kuzuia magonjwa mbali mbali na wengine milioni saba wameokolewa katika hatari ya kupoteza maisha.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika hatua mbalimbali za mkutano wa kimataifa wa kujadili na kuchangia upya juhudi za kimataifa za taasisi ya Global Alliance for Vaccines and Immunisation (GAVI) ambayo imefanya kazi kubwa ya kusambaza chanjo duniani ambapo mpaka sasa watoto milioni 500 wamepata chanjo za kuzuia magonjwa mbali mbali na wengine milioni saba wameokolewa katika hatari ya kupoteza maisha.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika hatua mbalimbali za mkutano wa kimataifa wa kujadili na kuchangia upya juhudi za kimataifa za taasisi ya Global Alliance for Vaccines and Immunisation (GAVI) ambayo imefanya kazi kubwa ya kusambaza chanjo duniani ambapo mpaka sasa watoto milioni 500 wamepata chanjo za kuzuia magonjwa mbali mbali na wengine milioni saba wameokolewa katika hatari ya kupoteza maisha.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Kansela Angela Merkel wa Ujerumani, Rais wa Mali Mhe Ibrahim Boubacar Keïta, Waziri Mkuu wa Norway Mhe. Erna Solbergna Mwenkekiti Mwenza wa Bill&Melinda Gates Foundation, Bw. Bill Gates, wakiwa jijini Berlin, Ujerumani, wakati wa chakula cha mchana cha mazungumzo baada ya kumalizika kwa mkubwa wa kuchangisha fedha katika mkutano wa kimataifa wa kujadili na kuchangia upya juhudi za kimataifa za taasisi ya Global Alliance for Vaccines and Immunisation (GAVI) ambayo imefanya kazi kubwa ya kusambaza chanjo duniani ambapo mpaka sasa watoto milioni 500 wamepata chanjo za kuzuia magonjwa mbali mbali na wengine milioni saba wameokolewa katika hatari ya kupoteza maisha.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishukuru baada ya kupokea tuzo ya GAVI
toka kwa mwenyekiti wa Bodi wa taasisi hiyo Bw. Dagfinn Høybråten
kutokana na mchango wakd mkubwa katika kuundwa na hatimaye kusimia
utekelezaji wa mipango ya GAVI hata kufanikisha upya juhudi za kimataifa
za taasisi ya Global Alliance for Vaccines and Immunisation (GAVI)
ambayo imefanya kazi kubwa ya kusambaza chanjo duniani ambapo mpaka sasa
watoto milioni 500 wamepata chanjo za kuzuia magonjwa mbali mbali na
wengine milioni saba wameokolewa katika hatari ya kupoteza
maisha
maisha
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Kansela Angela Merkel wa Ujerumani, Rais wa Mali Mhe Ibrahim Boubacar Keïta, Waziri Mkuu wa Norway Mhe. Erna Solbergna Mwenkekiti Mwenza wa Bill&Melinda Gates Foundation, Bw. Bill Gates, wakiwa jijini Berlin, Ujerumani, wakati wa chakula cha mchana cha mazungumzo baada ya kumalizika kwa mkubwa wa kuchangisha fedha katika mkutano wa kimataifa wa kujadili na kuchangia upya juhudi za kimataifa za taasisi ya Global Alliance for Vaccines and Immunisation (GAVI) ambayo imefanya kazi kubwa ya kusambaza chanjo duniani ambapo mpaka sasa watoto milioni 500 wamepata chanjo za kuzuia magonjwa mbali mbali na wengine milioni saba wameokolewa katika hatari ya kupoteza maisha
PICHA NA TAARIFA RASMI KUTOKA IKULU:RAIS JAKAYA KIKWETE AHAMASISHA MCHANGO WA DOLA BILIONI 7.5 KWA AJILI YA CHANJO YA WATOTO NCHI MASIKINI DUNIANI
Reviewed by crispaseve
on
01:24
Rating:
Post a Comment