Makamo mwenyekiti wa UTU kuwasili Tanzania
Makamo mwenyekiti wa Umoja wa Watanzania Ujerumani UTU e.V Mheshimiwa Peter Kazaura kuwasili nchini Tanzania Kesho 02.02.2015
Makamo mwenyekiti wa Umoja wa Watanzania Ujerumani UTU e.V Mheshimiwa Peter Kazaura kuwasili nchini Tanzania Kesho 02.02.2015 kwa ajili ya kufanya mazungumzo na kiongozi wa juu wa Taifa. akiwa Tanzania atafanya mazungumzo na uongozi wa mashirika yafuatayo TIC, Basata, Wizara ya Ardhi, NSSF, NHC, Tanzania Diaspora Initiative na Wizara ya Utamaduni Michezo na Vijana.

Mazungumzo
hayo yatalenga upatikanaji wa Fursa zilizopo Tanzania kwa Diaspora.
akiendelea kueleza msemaji wa Umoja huo Watanzania wanaoishi ujerumani
wangependa pia kuhusishwa kikamilifu katika shughuli za maendeleo nchini
Tanzania ikiwa ni pamoja na Afya, Elimu.naye
Mwenyekiti wa Umoja huo Mhe.
Mfundo Peter Mfundo alithibitisha kuwepo
kwa safari ya Makamo Mwenyekiti Mhe Peter Kazaura na alisema UTU e.V
umechukua uamuzi huo baada ya Watanzania nchini Ujerumani kukosa nafasi
ya kuongea na Rais wa Tanzania wakati wa ziara ya Rais nchini
Ujerumani.Pia watanzania wanaoishi ujerumani wanaulalamikia ubalozi kuwa
viongozi wa umoja wao walinyimwa nafasi ya kuonana na kumsalimia
Mhe.Rais Dkt.Jakaya Kikwete.--
Mfundo Peter Mfundo
Vorsitzender U T U e.V
Makamo mwenyekiti wa UTU kuwasili Tanzania
Reviewed by crispaseve
on
00:17
Rating:
Post a Comment