TUME YA MIPANGO YATEMBELEA MIRADI WA UMEME WA UPEPO SINGIDA
Meneja wa Mradi, Mhandisi. Pascal Malesa akiwaonesha timu
ya ukaguzi eneo linalokusudiwa kwa ajili ya mradi wa umeme wa upepo nje kidogo
ya mji wa Singida, mbele yake ni kiongozi wa timu hiyo Mhandisi. Happiness
Mgalula, ambaye ni Naibu Katibu Mtendaji wa Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango.
Meneja wa Mradi, Mha. Pascal Malesa akiwaonesha timu ya
ukaguzi eneo linalokusudiwa kwa ajili ya mradi wa umeme wa upepo nje kidogo ya
mji wa Singida.
Mhandisi Malesa akitoa maelezo juu ya utendaji kazi wa
mnara wa kupima upepo wa kampuni ya kuzalisha umeme wa upepo ya Wind East
Africa Singida Wind Power katika kijiji cha Ihoro, Kata ya Kisaki, Singida
mjini.
Timu ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo ikiwa chini ya
mnara wa kupima kasi ya upepo katika kijiji cha Iroho, Kata ya Kisaki, Singida
mjini. Mnara huo una urefu wa mita 60.
Meneja wa Mawasiliano wa Kampuni ya Wind East Africa
Singida Wind Power Bw. Simon Magesa akionesha jinsi ambavyo kasi ya upepo
inavyopimwa katika mnara wa upepo ambao tayari umewekwa na kampuni yake.
TUME YA MIPANGO YATEMBELEA MIRADI WA UMEME WA UPEPO SINGIDA
Reviewed by crispaseve
on
02:57
Rating:
Post a Comment