Airtel yafanya utambulisho kabambe wa huduma yao mpya ya Supa 5 ndani ya Coco Beach,jijini Dar
Mmoja wa wasanii wa kufoka foka,aliyejitambulisha kwa jina moja la Rich akimwaga mistari mapema leo jioni wakati kampuni ya simu za mikononi ya Airtel, ilipokuwa ikifanya utambulisho na uzinduzi wa huduma mpya ya airtel/Airtel Super 5 uliofanyika kwenye ufukwe wa Coco beach,jijini Dar.shoo kubwa ya uzinduzi kufanyika kesho jumapili hapo hapo coco beach siku nzima
Baadhi ya timu ya mauzo kutoka kampuni ya Airtel wakiuza bidhaa mbalimbali za kampuni hiyo mapema leo jioni wakati wa kampuni hiyo ,ilipokuwa ikifanya utambulisho na uzinduzi wa huduma mpya ya Airtel/Airtel Super 5 uliofanyika kwenye ufukwe wa Coco beach,jijini Dar.
Baadhi ya Wasanii wa kikundi cha Kinoko,kutoka Mwananyamala wakitumbuiza jukwaani mbele ya umati wa watu (hawapo pichani),mapema leo jioni wakati kampuni ya simu za mikononi ya Airtel, ilipokuwa ikifanya utambulisho na uzinduzi wa huduma mpya ya airtel/Airtel Super 5 uliofanyika kwenye ufukwe wa Coco beach,jijini Dar.
Mmoja wa wafanyakazi kutoka timu ya mauzo ya kampuni ya Airtel akiinadi modem ya Airtel 3.75G yenye kasi zaidi kuliko zote nchini, leo jioni wakati wa kampuni hiyo ,ilipokuwa ikifanya utambulisho na uzinduzi wa huduma mpya ya airtel/Airtel Super 5 uliofanyika kwenye ufukwe wa Coco beach,jijini Dar.
Baadhi ya timu ya mauzo kutoka kampuni ya Airtel wakiuza bidhaa mbalimbali za kampuni hiyo mapema leo jioni wakati kampuni hiyo ilipokuwa ikifanya utambulisho na uzinduzi wa huduma mpya ya airtel/Airtel Super 5 uliofanyika kwenye ufukwe wa Coco beach,jijini Dar.
Baadhi ya Wasanii wa kikundi cha Kinoko,kutoka Mwananyamala wakitumbuiza jukwaani mbele ya umati wa watu (hawapo pichani),mapema leo jioni wakati kampuni ya simu za mikononi ya Airtel, ilipokuwa ikifanya utambulisho na uzinduzi wa huduma mpya ya airtel/Airtel Super 5 uliofanyika kwenye ufukwe wa Coco beach,jijini Dar.
Wateja wapya mbalimbali wakiendelea kuhamia Airtel, mapema leo jioni wakati kampuni ya simu za mikononi ya Airtel, ilipokuwa ikifanya utambulisho na uzinduzi wa huduma mpya ya airtel/Airtel Super 5 uliofanyika kwenye ufukwe wa Coco beach,jijini Dar.
Reviewed by crispaseve
on
08:21
Rating:
Post a Comment