Rais Jakaya Kikwete akibadilishana mawazo na Mkuu wa Shirika la Misaada la Marekani (USAID)
Rais Jakaya Kikwete akibadilishana mawazo na Mkuu wa Shirika la Misaada la Marekani (USAID), Dk. Raj Shah (katikati) na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Millennium Challenge Corporation, Daniel W. Johannes wakati wa hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na Manispaa ya Chicago kwa ajili ya wakuu wa nchi waliohudhuria Kongamano la Usalama wa Chakula Duniani, Washington DC, Marekani. (Picha na Ikulu).
Reviewed by crispaseve
on
08:15
Rating:
Post a Comment