Header AD

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad Atembelewa na Ujumbe wa Umoja wa Mataifa

  Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akiagana na kiongozi wa ujumbe wa Umoja wa Mataifa Bw. Akinyemi Adegbola baada ya mazungumzo yao huko Ofisini Kwake Migombani Zanzibar. Kushoto ni Mjumbe wa Umoja huo ofisi ya Zanzibar bibi Njeri Kamau.
  Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo yake na ujumbe wa Umoja wa Mataifa huko Ofisini Kwake Migombani Zanzibar. Kushoto ni kiongozi wa ujumbe huo Bw. Akinyemi Adegbola.Picha, Salmin Said-Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar

Reviewed by crispaseve on 09:31 Rating: 5

No comments

Post AD