Makatibu Wakuu wapya, Mkurugenzi wa Taasisi ya Kuzuia Rushwa waapishwa Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimuapisha Dk.Juma
Malik Akili, kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Miundombinu na
Mawasiliano,katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini
Zanzibar leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimuapisha Nd,Ali
Khalil Mirza, kuwa Katibu Mkuu Wizara ya
Ardhi,Makaazi,Maji na Nishati,katika hafla iliyofanyika
Ikulu Mjini Zanzibar leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimuapisha Nd,Mussa
Haji Ali, kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia
Rushwa na Uhujumu wa Uchumi,katika hafla iliyofanyika
Ikulu Mjini Zanzibar,leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(kushoto)
akibadilishana mawazo na Makamo wa Kwanza wa Rais wa
Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, na Makamo wa Pili wa
Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi,baada ya kuwaapisha Makatibu
wakuu wa Wizara mbali mbali na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia
Rushwa Zanzibar,katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar,leo
Picha na Ramadhan Othman,IKULU
Reviewed by crispaseve
on
01:58
Rating:
Post a Comment