PENZI LA K-LYNN NA REGINALD MENGI SIO SIRI TENA, WAWEKA KILA KITU WAZI.
Pichani ni aliyewahi kuwa Miss
Tanzania Jackline Ntiyabaliwe maarufu kama K-Lynn akiwa na Baby Father
wake wa watoto mapacha Reginald mengi ughaibuni.
Hii ni moja ya tweet ambayo K-Lynn alimuandikia baba watoto wake huyo kwa kumpongeza katika siku yake ya kuzaliwa.
Reviewed by crispaseve
on
06:30
Rating:
Post a Comment