Header AD

WENGI WAJITOKEZA MKUTANO WA KINANA MAKAMBAKO

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwa katika picha ya pamoja na wanachama wapya wa CCM baada ya kuwakabidhi kadi, katika mkutano wa hadhara kwenye Uwanja wa Polisi, Mjini Makambako, wakati wa ziara ya kuimarisha  chama hicho. (PICHA NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA)
 Kinana akilakwa kwa bashasha na mmoja wa wanachama wa CC,M baada ya msafara wake kuwasili Makambako, wakitokea Njombe kwa kazi za kuiamarisha uhai wa CCM.
 Kinana akiweka jiwe la msingi jingo la CCM Tawi la Mizani, mjini Makambako
 Wananchi wakisikiliza kwa makini hotuba ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCVM, Nape Nnauye.
 Mtoto akiwa na shauku ya umuona Nape Nnauye alipokuwa akihutubia mkutano huo wa hadhara
 Mwenyekiti wa CCM, Mkoa wa Njombe, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Njombe Kaskazini, Deo Sanga, akihutubia

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, akihutubia.

 Kinana akimkabidhi kadi Jane Mlawa aliyejinga na CCM katika mkutano huo.kwa
Reviewed by crispaseve on 05:09 Rating: 5

No comments

Post AD