Picha:Zaidi ya magari 1,000 yamekwama kwenye Barabara Kuu ya Mwanza - Dar es Salaam katika Kijiji cha Ngonho, Kata ya Miguwa, wilayani Nzega, kutokana utekaji wa malori uliofanywa juzi usiku.

Baadhi ya abiria na madereva wakiwa katika mgomo wa kuondoa magari katika kijiji cha Ngonho kata ya Miguwa baada ya magari matatu kutekwa na madereva wake kujeruhiwa vibaya kabla ya kupelekwa katika hospitali ya Nikinga, Igunga.Takribani abiria 3,000 na magari 1,000 yamekwama katika eneo Picha na na Mustapha Kapalata
--
Zaidi ya magari 1,000 yamekwama kwenye Barabara Kuu ya Mwanza - Dar es Salaam katika Kijiji cha Ngonho, Kata ya Miguwa, wilayani Nzega, kutokana utekaji wa malori uliofanywa juzi usiku.
Baadhi ya madereva walisema walikutwa na mkasa huo juzi saa nne usiku wakati magari yao yalipotekwa na watu wanaosadikiwa ni majambazi na kuwanyang’anya mali na kisha kuwatendea ukatili wa kuwajeruhi sehemu mbalimbali za miili yao ikiwa ni pamoja na kuwakata masikio na kuwatoboa macho.
Kutokana na tukio hilo, waligoma kuondoa magari yao na kusababisha mabasi ya abiria na malori ya mizigo kukwama wakati abiria wapatao 3,000 wakitaabika kwa kukosa chakula na maji.Kwa habari zaidi Bofya na Endelea......
Picha:Zaidi ya magari 1,000 yamekwama kwenye Barabara Kuu ya Mwanza - Dar es Salaam katika Kijiji cha Ngonho, Kata ya Miguwa, wilayani Nzega, kutokana utekaji wa malori uliofanywa juzi usiku.
Reviewed by crispaseve
on
23:21
Rating:
Reviewed by crispaseve
on
23:21
Rating:

Post a Comment