Header AD

ATLETICO MADRID YATOKA SARE TASA NA CHELSEA



Atletico 0 - 0 ChelseaMakomandoo wa Vicent Calderon, Timu ya  Atletico Madrid imejikuta ikilazimishwa sare nyumbani kwao na vijana wa darajani   ‘Chelsea’  na kufanya matokea kuwa bila bila ikiwa ni mchezo wa kwanza wa hatua ya nusu fainali ya michuano ya klabu bingwa barani Ulaya.
Atletico1Mchezo huo uliokuwa wa vuta ni kuvute kwa kila pande  ingawa kwa upande wa Chelsea hali ilikuwa tete kufuatia kuumia kwa kipa Peter Cech na kapteni wa kikosi hicho ‘John Terry’ aliyeshindwa kuendelea na mchezo huo na kumlazimu kutolewa..
Atl Vs ChelseaHapo kesho kunako majaliwa, Real Madrid itawakaribisha kwenye dimba lao la Stantiago Bernabeu  Bayern Munich ya Ujerumani  katika mchezo  wa  pili  wa hatua ya nusu fainali.
Petr CechTerry1
Maurinho
ATLETICO MADRID YATOKA SARE TASA NA CHELSEA ATLETICO MADRID YATOKA SARE TASA NA CHELSEA Reviewed by crispaseve on 00:22 Rating: 5

No comments

Post AD