KAMATI YA FEDHA, BIASHARA NA KILIMO YA MARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR YATEMBELEA KIWANDA CHA SUKARI MAHONDA
Muonekano wa Kiwanda cha Sukari Mahonda kilivyo hivi sasa.
Mshauri
muelekezi wa Kiwanda cha Sukari Mahonda Dk. Hamza Hussein Sabri (alie
simama) akitoa maelezo na changamoto wanazozipata Kiwandani hapo, kwa
Kamati ya Fedha, Biashara na Kilimo ya Baraza la wawakilishi walipoenda
kutembelea Kiwanda hapo.
Makamo
Mwenyekiti wa Kamati ya Fedha, Biashara na Kilimo ya Baraza la
wawakilishi Hija Hassan Hija akizunguza na uongozi wa Kiwanda cha Sukari
na viongozi wa Wizara ya Biashara, Viwanda na Masoko katika kuangalia
hatua ya uzalishaji Sukari Kiwandani hapo na changamoto wanazokabiliana
nazo.
Afisa utumishi wa Kiwanda hicho Bw. Bashir Mohammed akionyesha kiroba cha kilo 50 za Sukari.
Mkurugenzi
wa maendeleo ya viwanda Wizara ya Biashara, Viwanda na Masoko Zanzibar
Bw. Saleh Suleiman Hamad akiwaonyesha wajumbe wa Baraza la wawakilishi
Sukari iliozalishwa kiwandani hapo ambayo bado haijaingia sokoni hadi
sasa. (Picha zote na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar).
KAMATI YA FEDHA, BIASHARA NA KILIMO YA MARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR YATEMBELEA KIWANDA CHA SUKARI MAHONDA
Reviewed by crispaseve
on
05:11
Rating:
Post a Comment