JK AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUMFARIJI SALVA RWEYEMAMU NA FAMILIA YAKE KWA MSIBA WA PRIVATE BRIAN
Waziri
Mkuu Mstaafu Dkt Salim Ahmed Salim akisaini kitabu cha maombolezo
nyumbani kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Ofisi ya Rais Ikulu Bwana
Salva Rweyemamu Kinondoni jijini Dar es Salaam kufuatia kifo cha mwanaye
Private Brian Salva Rweyemamu kilichotokea jana katika hospitali ya
jeshi Lugalo jijini baada ya kuugua kwa muda mfupi.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Ofisi ya Rais Ikulu Bwana Salva Rweyemamu
Kinondoni jijini Dar es…
JK AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUMFARIJI SALVA RWEYEMAMU NA FAMILIA YAKE KWA MSIBA WA PRIVATE BRIAN
Reviewed by crispaseve
on
02:32
Rating:

Post a Comment