MWAKILISHI WA JIMBO LA KIEMBESAMAKI ATEMBELEA KITUO CHA AFYA CHA KIEMBESAMAKI ZANZIBAR
Wauguzi
wa kituo cha Afya cha Kiembesamaki wakimskiliza mwakilishi wa Jimbo
hilo Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (hajupo pichani)alipoende kutembelea
kituoni hapo.
Muuguzi
dhamana wa kituo cha Afya cha Kiembe Samaki Bi. Azida Othman akielezea
changamoto wanazokabiliana nazo kituoni hapo ikiwa pamoja na kukosa
Daktari dhamana wa kituo hicho kwa mda sasa, wa mwanzo kulia Diwani wa
Jimbo la Kiembesamaki Bwa. Kharib Mohammed na wakatikati ni Mhe. Mahmoud
Thabit Kombo.
Mwakilishi wa Jimbo la Kiembesamaki Mahmoud Thabit Kombo kushoto akiteta na Diwani wake Bwa. Kharib Mohammed.
Mwakilishi
wa Jimbo la Kiembesamaki Mhe. Mahmoud Thabit Kombo akizungumza na
Kamati ya Afya yakituo hicho na Wauguzi alipoenda kutembelea kituo hicho
ili kujua changamoto wanazokabiliana nazo ili kuzipatia ufumbuzi.(Picha
na Makame Mshenga- Maelezo Zanzibar).
MWAKILISHI WA JIMBO LA KIEMBESAMAKI ATEMBELEA KITUO CHA AFYA CHA KIEMBESAMAKI ZANZIBAR
Reviewed by crispaseve
on
02:28
Rating:
Post a Comment