TAASISI YA NKWAMIRA KUTOA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KWA VIJANA 200
Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi isiyo
ya Kiserika ya Nkwamira, Noreen Mazalla akizungumza wakati wa uzinduzi wa
mafunzo ya ujasiriamali kwa vijana 200 waliomaliza masomo ya kidato cha nne na
sita yatakayoendeshwa chini ya taasisi hiyo, Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa DTP,
Suheil Abdulrasul na Mkurugenzi Mtendaji wa DTBI, George Mulamula.
Mwenyekiti
wa Makampuni ya IPP, Reginald Mengi akizungumza na waandishi wa habari
(hawapo pichani) jijini Dar es Salaam, wakati wa akizindua mafunzao ya
uajasiriamali kwa vijana 200 waliomaliza masomo ya kidato cha nne na
sita yatakayofanywa chini ya taasisi isiyo ya kiserikali ya Nkwamira.
Baadhi ya vijana watakaonufaida na mafunzo hayo.
Baadhi ya vijana watakaonufaida na mafunzo hayo.
Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi isiyo ya Kiserika ya Nkwamira, Noreen Mazalla akiteta jambo na Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Reginald Mengi wakati wa uzinduzi huo.
TAASISI YA NKWAMIRA KUTOA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KWA VIJANA 200
Reviewed by crispaseve
on
02:21
Rating:
Post a Comment