VIDEO : MDOGO WA BEYONCE NUSURA AMTOE ROHO SHEMEJI YAKE JAY Z
Hii huenda ikawa ni kali kuliko zote baada ya video kuvuja
iliyokuwa ikimuonyesha mdogo wa kike wa mwanamuziki Beyonce
anayefahamika kwa jina la Solange akionekana kumrushia mateke na ngumi
shemeji yake Jay Z huku Beyonce akiwa pembeni akiwatazama.
Tukio hilo lilirekodiwa na kamera zilizokuwa zimefungwa
kwenye lifti usiku wa May 05 kwenye after party ya Met Gala. Hata hivyo
walinzi waliweza kuingilia kati ugomvi huo na kuweza kuwatenganisha,
ingawa mpaka sasa bado haijaweza kufahamika chanzo cha ugomvi baina ya
mastaa hao. Itazame hapo chini video fupi ya tukio hilo
VIDEO : MDOGO WA BEYONCE NUSURA AMTOE ROHO SHEMEJI YAKE JAY Z
Reviewed by crispaseve
on
06:43
Rating:


Post a Comment