DAKTARI FEKI AKAMATWA KATIKA TAASISI YA MIFUPA MUHIMBILI ( MOI )
Daktari feki aitwaye Dismas Macha amekamatwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa (MOI) akiwa
amevaa sare za kazi kama Daktari ambapo hii inakuwa mara ya pili
kukamatwa akiwa anachangisha rambirambi kwa Madaktari akidai kuwa
amefiwa.
Anaye
daiwa kuwa Daktari feki ,akiwa chini ya ulinzi Dar es Salaam jana,
baada ya kuingia katika Taasisi ya Mifupa (MOI) akiwa amvalia nguo ya
kazi na akiwa na kitambulisho cha kazi na kujifanya yeye ni Daktari wa
Taasisi hiyo .Baada ya kukamatwa na askari alikutwa na vitu mbalimbali
kama vile nyaraka za Serekali,
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu na Upasuaji wa Ubongo ya MOI, Dk Othman Wanin Kiloloma amesema;.PICHA NA KHAMISI MUSSA
DAKTARI FEKI AKAMATWA KATIKA TAASISI YA MIFUPA MUHIMBILI ( MOI )
Reviewed by crispaseve
on
04:45
Rating:
Post a Comment