MICHEZO YA BANDARI 2014 MJINI MTWARA YAFUNGLIWA RASMI
Kaimu Mkuu wa Mkoa
wa Mtwara, Mhe. Ponsiano Nyami akizungumza na wanamichezo wa Bandari.

Mwakilishi wa Kaimu
Mkurugenzi Mkuu wa TPA ambaye pia ni Mkurugenzi wa Rasilimali Watu, Bw. Peter
Gawile akizungumza na wanamichezo wa Bandari.
Kaimu Mkuu wa Mkoa
wa Mtwara, Mhe. Ponsiano Nyami akiikagua timu ya Bandari ya Dar es Salaam kabla
ya kuwavaa Bandari Mtwara.
Mchezo wa bao baina
ya Makao Makuu na Bandari ya Mtwara.
Timu ya kuvuta kamba
kutoka Bandari ya Dar es Salaam wakimenyana na wenzao wa Bandari Mtwara.
Timu ya kuvuta kamba
kutoka Bandari Mtwara wakimenyana na wenzao wa Bandari ya Dar es Salaam.
MICHEZO YA BANDARI 2014 MJINI MTWARA YAFUNGLIWA RASMI
Reviewed by crispaseve
on
07:00
Rating:
Post a Comment