MOSES IYOBO, RAMA TONSA NA DJ ROMY JONES WAWASILI WASHINGTON, DC, DIAMOND KUWASILI LEO
kutoka kushoto ni Dj Romy Jones, Moses Iyobo na Rama Tonsa
wakisubili usafiri na huku wakijaribu kupata mawasiliano mara tu baada
ya kuwasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa Dulles uliopo Sterling,
Virginia tayari kwa kuwasha moto leo kwenye sherehe ya Uhuru
itakayofanyika Sheraton ya Downtown Silver Spring.
Moses Iyobo, Dj Romy Jones wakiwa uwanja wa ndege wa kimataifa mara
tu baada ya kuwasili siku ya Ijumaa Desemba 5, 2014 kwa ajili ya sherehe
ya Uhuru itakayofanyika leo Jumamosi Sheraton ya Downtown Silver
Spring, Maryland.
Moses Iyobo na Rama Tonsa wakiwasili hotelini mara tu baada ya kutoka uwanja wa ndege.
Dj Romy Jones (Dj wa Diamond) akiendelea na mawasiliano akiwa hotelini.
Wadau kutoka Michigan wakiwasili tayari kwa show ya Diamond. Picha na Vijimambo.
MOSES IYOBO, RAMA TONSA NA DJ ROMY JONES WAWASILI WASHINGTON, DC, DIAMOND KUWASILI LEO
Reviewed by crispaseve
on
06:49
Rating:
Post a Comment