Taasisi za Kifedha na binafasi washauriwa kutumia fursa sekta ya nishati
Kaimu
Katibu Mkuu, Wizara ya Nishati na Madini, Mhandisi Ngosi Mwihava ,
akiongea jambo wakati akifungua kikao kazi baina ya REA taasisi za
Kifedha, Washirika wa Maendeleo , Taasisi Binafsi , Wizara na Taasisi za
Serikali, kilicholenga kujadili na kuangalia namna sekta hizo
zinavyoweza kushirikiana pamoja na kuongeza nguvu ili kuongeza kasi ya
kuviunganisha vijiji na umeme. Wanaomsikiliza kutoka kulia ni Mwenyekiti
wa Bodi ya REA, Edmund Mkwawa, katikati ni Mtendaji Mkuu wa Wakala wa
Nishati Vijini (REA), Dr. Lutengano Mwakahesya na mjumbe wa Bodi ya REA,
Dr. Gideon Kaunda.
Sehemu ya washiriki wakifuatilia kikao hicho.
Mtendaji
Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijjini (REA), Dr. Lutengano Mwakahesya
akiongea jambo wakati wa kikao kazi baina ya REA taasisi za Kifedha,
Washirika wa Maendeleo , Taasisi Binafsi, Wizara na Taasisi za Serikali,
kilicholenga kujadili na kuangalia namna sekta hizo zinavyoweza
kushirikiana pamoja na kuongeza nguvu ili kuongeza kasi ya kuviunganisha
vijiji na umeme.
Sehemu
ya washiriki wakifuatilia kikao kikao kazi baina ya REA, taasisi za
Kifedha, Washirika wa Maendeleo n, Taasisi Binafsi, Wizara na Taasisi za
Serikali, kilicholenga kujadili na kuangalia namna sekta hizo
zinavyoweza kushirikiana pamoja na kuongeza nguvu ili kuongeza kasi ya
kuviunganisha vijiji na umeme
Kaimu
Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini, Mhandisi Ngosi Mwihava,
(katikati) katika picha ya pamoja na Washirika wa Maendeleo
Mwenyekiti wa Bodi ya REA
Edmund Mkwawa, akiongea jambo wakati wa kikao kazi baina ya REA, taasisi
za Kifedha, Washirika wa Maendeleo na Taasisi Binafsi, Wizara , Taasisi
za Serikali, kilicholenga kujadili na kuangalia namna sekta hizo
zinavyoweza kushirikiana pamoja na kuongeza nguvu ili kuongeza kasi ya
kuviunganisha vijiji na umeme.
Taasisi za Kifedha na binafasi washauriwa kutumia fursa sekta ya nishati
Reviewed by crispaseve
on
03:13
Rating:
Post a Comment