RAIS KIKWETE AKUTANA NA WAZIRI MKUU WA AUSTRALIA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Waziri Mkuu wa Australia Mhe.
Tonny Abbot alipowasili asubuhi ya tarehe 28 Julai 2015 katika makao
Makuu ya kiongozi huyo jijini Sydney
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Waziri
Mkuu wa Australia Mhe. Tonny Abbot alipowasili asubuhi ya tarehe 28
Julai 2015 katika makao Makuu ya kiongozi huyo jijini Sydney.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake wakiwa katika mazungumzo rasmi
na Waziri Mkuu wa Australia Mhe. Tonny Abbot asubuhi ya tarehe 28
Julai 2015 katika makao Makuu ya kiongozi huyo jijini Sydney
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akikagua gwaride la lililoandaliwa kwa heshima yake huku akipigiwa
mizinga 21 alipowasili asubuhi ya tarehe 28 Julai 2015 katika makao
Makuu ya kiongozi huyo jijini Sydney
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiutambulisha ujumbe wake kwa Waziri Mkuu
wa Australia Mhe. Tonny Abbot alipowasili asubuhi ya tarehe 28 Julai,
2015 katika makao Makuu ya kiongozi huyo jijini Sydney.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sahihi katika kitabu cha wageni
alipowasili kwenye jumba la serikali jijini Sydney tarehe 28 Julai 2015
na kukutana na kufanya mazungumzo na Gavana Mkuu wa Australia
Mheshimiwa Peter Cosgrove aliyesimama nyuma yake pamoja na Mama Salma
Kikwete na Mke wa Gavana huyo Mama Cosgrove.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea wakati wa chakula cha mchana
kwenye jumba la serikali jijini Sydney tarehe 28 Julai 2015 baada ya
kukutana na kufanya mazungumzo na Gavana Mkuu wa Australia Mheshimiwa
Peter Cosgrove.PICHA NA IKULU.
RAIS KIKWETE AKUTANA NA WAZIRI MKUU WA AUSTRALIA
Reviewed by crispaseve
on
03:10
Rating:
Post a Comment